Job 40:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mimi sifai kitu nitakujibu nini? Naufunga mdomo wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mimi sistahili kabisa: ninawezaje kukujibu wewe? Nauweka mkono wangu juu ya kinywa changu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, mimi si kitu kabisa, nikujibu nini? Naweka mkono wangu kinywani pangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mimi sifai kitu nitakujibu nini? Naufunga mdomo wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mimi sistahili kabisa, ninawezaje kukujibu wewe? Nauweka mkono wangu juu ya kinywa changu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mimi sistahili kabisa: ninawezaje kukujibu wewe? Nauweka mkono wangu juu ya kinywa changu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, mimi si kitu kabisa, nikujibu nini? Naweka mkono wangu kinywani pangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mimi sifai kitu nitakujibu nini? Naufunga mdomo wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi ni mdogo zaidi, nikujibu nini? Nimekifumba kinywa changu kwa kiganja changu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, mimi si kitu kabisa, nikujibu nini? Naweka mkono wangu kinywani pangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi sifai kitu. Nitakujibu nini? Ninafunga kinywa changu.