Job 40:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Mwenyezi-Mungu akamjibu kutoka kimbunga:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Mwenyezi Mungu akasema na Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Bwana akamjibu Ayubu katika upepo wa kisulisuli, na kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Mwenyezi-Mungu akamjibu kutoka kimbunga:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo BWANA akasema na Ayubu kutoka katika upepo wa kisulisuli:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo bwana akasema na Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo BWANA akamjibu Ayubu katika upepo wa kisulisuli, na kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Mwenyezi-Mungu akamjibu kutoka kimbunga:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamjibu Iyobu akiwa mle upeponi mwenye nguvu za kuvuma, akasema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo BWANA akamjibu Ayubu katika upepo wa kisulisuli, na kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yawe akamujibu kutoka katika zoruba: