Job 40:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Jikaze kama mwanamume. Nitakuuliza, nawe utanijibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza maswali, nawe yakupasa unijibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jifunge viuno kama mwanamume, Mimi nitakuuliza neno, nawe niambie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Jikaze kama mwanamume. Nitakuuliza, nawe utanijibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza maswali, nawe yakupasa unijibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Jikaze kama mwanaume; nitakuuliza maswali, nawe yakupasa unijibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jifunge viuno kama mwanamume, Mimi nitakuuliza neno, nawe niambie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Jikaze kama mwanamume. Nitakuuliza, nawe utanijibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya! Jifunge viuno vyako kama mtu wa kiume! Kisha nitakuuliza, upate kunijulisha!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jifunge viuno kama mwanamume, Mimi nitakuuliza neno, nawe niambie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ujikaze kama mwanaume. Nitakuuliza, nawe utanijibu.