Job 40:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, una nguvu kama mimi Mungu? Waweza kunguruma kwa sauti kama yangu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, una mkono kama wa Mungu, nawe unaweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au je! Wewe una mkono kama Mungu? Waweza kutoa ngurumo kwa sauti kama yeye?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, una nguvu kama mimi Mungu? Waweza kunguruma kwa sauti kama yangu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, una mkono kama wa Mungu, nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, una mkono kama wa Mungu, nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au je! Wewe una mkono kama Mungu? Waweza kutoa ngurumo kwa sauti kama yeye?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, una nguvu kama mimi Mungu? Waweza kunguruma kwa sauti kama yangu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Uko na mkono kama wake Mungu? Kwa kupaza sauti utaweza kunguruma kama yeye?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au je! Wewe una mkono kama Mungu? Waweza kutoa ngurumo kwa sauti kama yeye?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Una nguvu kama mimi Mungu? Unaweza kunguruma kwa sauti kama yangu?