Job 41:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Yeyote anayeliona hilo dude, hufa moyo na kuzirai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, unaweza kumvua Lewiathani kwa ndoana ya samaki, au kufunga ulimi wake kwa kamba?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Waweza wewe kumvua mamba kwa ndoana? Au, kuufunga ulimi wake kwa kamba?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Yeyote anayeliona hilo dude, hufa moyo na kuzirai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Je, waweza kumvua Lewiathani kwa ndoano ya samaki au kufunga ulimi wake kwa kamba?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Je, waweza kumvua Lewiathani kwa ndoano ya samaki, au kufunga ulimi wake kwa kamba?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Waweza wewe kumvua mamba kwa ndoana? Au, kuufunga ulimi wake kwa kamba?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Yeyote anayeliona hilo dude, hufa moyo na kuzirai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Unaweza kumvua nondo wa baharini kwa ndoana au kuufunga ulimi wake kwa kamba katika taya la chini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Waweza wewe kumvua mamba kwa ndoana? Au, kuufunga ulimi wake kwa kamba?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeyote anayeona yule nyama mukubwa anakufa moyo na kuzimia.