Job 41:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Likipiga chafya, mwanga huchomoza, macho yake humetameta kama jua lichomozapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna yeyote aliye mkali athubutuye kumchokoza. Ni nani basi awezaye kusimama dhidi yangu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapana aliye mkali hata akathubutu kumwamsha; Bali ni nani awezaye kusimama mbele yangu mimi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Likipiga chafya, mwanga huchomoza, macho yake humetameta kama jua lichomozapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna ye yote aliye mkali athubutuye kumchokoza. Ni nani basi awezaye kusimama dhidi yangu Mimi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna yeyote aliye mkali athubutuye kumchokoza. Ni nani basi awezaye kusimama dhidi yangu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapana aliye mkali hata akathubutu kumwamsha; Bali ni nani awezaye kusimama mbele yangu mimi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Likipiga chafya, mwanga huchomoza, macho yake humetameta kama jua lichomozapo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna ajipaye moyo wa kumwamsha; tena yuko nani atakayesimama usoni pangu, mimi Mungu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapana aliye mkali hata akathubutu kumwamsha; Bali ni nani awezaye kusimama mbele yangu mimi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akipiga chafya, mwangaza unatokea, macho yake yanametameta kama jua inapotokea.