Job 41:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Linapoinuka, mashujaa hushikwa na woga, kwa pigo moja huwa wamezirai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zimeunganishwa imara kila moja na nyingine; zimeng’ang’aniana pamoja wala haziwezi kutenganishwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yamefungamana pamoja; Yameshikamana, hata hayawezekani kutengwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Linapoinuka, mashujaa hushikwa na woga, kwa pigo moja huwa wamezirai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zimeunganishwa imara kila moja na nyingine, zimeng'ang'aniana pamoja wala haziwezi kutenganishwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zimeunganishwa imara kila moja na nyingine; zimeng’ang’aniana pamoja wala haziwezi kutenganishwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yamefungamana pamoja; Yameshikamana, hata hayawezi kutengwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Linapoinuka, mashujaa hushikwa na woga, kwa pigo moja huwa wamezirai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli kila moja linagandamana na mwenzake, yanashikana kwa nguvu, yasitengeke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yamefungamana pamoja; Yameshikamana, hata hayawezekani kutengwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anapoinuka, mashujaa wanashikwa na woga, kwa pigo moja wanazimia.