Job 41:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna upanga uwezao kulijeruhi, wala mkuki, mshale au fumo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akipiga chafya mwanga humetameta; macho yake ni kama miali ya mapambazuko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuchemua kwake mwanga humemetuka, Na macho yake yanafanana na makope ya alfajiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna upanga uwezao kulijeruhi, wala mkuki, mshale au fumo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akipiga chafya mwanga humetameta, macho yake ni kama mionzi ya mapambazuko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akipiga chafya mwanga humetameta; macho yake ni kama mionzi ya mapambazuko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuchemua kwake mwanga humemetuka, Na macho yake yanafanana na kope za alfajiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna upanga uwezao kulijeruhi, wala mkuki, mshale au fumo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akienda chafya humulikisha mwanga, nayo macho yake yanafanana nayo makope ya mapambazuko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuchemua kwake mwanga humemetuka, Na macho yake yanafanana na makope ya alfajiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna upanga unaoweza kumuumiza, wala mukuki, mushale au nguo ya chuma.