Job 41:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tumbo lake ni kama limefunikwa na vigae vikali; hukwaruza na kurarua udongo kama chombo cha kupuria.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nguvu hukaa katika shingo yake; utisho hutangulia mbele yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika shingo yake hukaa nguvu, Na utisho hucheza mbele yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tumbo lake ni kama limefunikwa na vigae vikali; hukwaruza na kurarua udongo kama chombo cha kupuria.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nguvu hukaa katika shingo yake, utisho hutangulia mbele yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nguvu hukaa katika shingo yake; utisho hutangulia mbele yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika shingo yake hukaa nguvu, Na utisho hucheza mbele yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tumbo lake ni kama limefunikwa na vigae vikali; hukwaruza na kurarua udongo kama chombo cha kupuria.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Shingoni pake ndipo, nguvu zinapokaa, mbele yake yako matetemeko na mastusho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika shingo yake hukaa nguvu, Na utisho hucheza mbele yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tumbo lake ni kama limefunikwa na vigae vikali; anakwaruza na kurarua udongo kama chombo cha kulima.