Job 41:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bahari huisukasuka kama maji yachemkayo, huifanya itoe povu kama chupa ya mafuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mikunjo ya nyama yake imeshikamana imara pamoja; iko imara na haiwezi kuondolewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Manofu ya nyama yake hushikamana; Yanakazana juu yake; hayawezi kuondolewa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bahari huisukasuka kama maji yachemkayo, huifanya itoe povu kama chupa ya mafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mikunjo ya nyama yake imeshikamana imara pamoja, iko imara na haiwezi kuondolewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mikunjo ya nyama yake imeshikamana imara pamoja; iko imara na haiwezi kuondolewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Minofu ya nyama yake hushikamana; Yanakazana juu yake; hayawezi kuondolewa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bahari huisukasuka kama maji yachemkayo, huifanya itoe povu kama chupa ya mafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Manofu ya mwili wake yanashupaa, kwa kukazana hapo, yalipo, hayatikisiki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Manofu ya nyama yake hushikamana; Yanakazana juu yake; hayawezi kuondolewa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anatikisatikisa bahari kama maji yanayochemuka, anaifanya itoe pofu kama chupa ya mafuta.