Job 41:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lipitapo huacha nyuma alama inayongaa; povu jeupe huonekana limeelea baharini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kifua chake ni kigumu kama mwamba, kigumu kama jiwe la chini la kusagia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo wake una imara kama jiwe; Naam, imara kama jiwe la chini la kusagia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lipitapo huacha nyuma alama inayong'aa; povu jeupe huonekana limeelea baharini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kifua chake ni kigumu kama mwamba, kigumu kama jiwe la chini la kusagia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kifua chake ni kigumu kama mwamba, kigumu kama jiwe la chini la kusagia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo wake una uimara kama jiwe; Naam, uimara kama jiwe la chini la kusagia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lipitapo huacha nyuma alama inayongaa; povu jeupe huonekana limeelea baharini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo wake nao ni mgumu kama jiwe, ugumu wake ni kama wa jiwe la chini la kusagia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo wake una imara kama jiwe; Naam, imara kama jiwe la chini la kusagia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anapopita anaacha nyuma kitambulisho kinachoangaa; pofu nyeupe inaonekana ikielea juu ya bahari.