Job 41:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Duniani hakuna kinachofanana nalo; hilo ni kiumbe kisicho na hofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ainukapo, mashujaa wanaogopa; wanarudi nyuma mbele ya kishindo chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Anapojiinua, mashujaa huogopa; Kwa sababu ya woga wao huvunjwa moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Duniani hakuna kinachofanana nalo; hilo ni kiumbe kisicho na hofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ainukapo, wenye nguvu wanaogopa, wenye nguvu hurudi nyuma mbele yake anapokwenda kwa kishindo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ainukapo, mashujaa wanaogopa; hurudi nyuma mbele yake anapokwenda kwa kishindo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Anapojiinua, mashujaa huogopa; Kwa sababu ya woga wao huvunjwa moyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Duniani hakuna kinachofanana nalo; hilo ni kiumbe kisicho na hofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akiinuka, nao wenye nguvu hushikwa na woga, kwa kustushwa hukosa njia ya kukimbilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Anapojiinua, mashujaa huogopa; Kwa sababu ya woga wao huvunjwa moyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika dunia hakuna kinachofanana nayo; hicho ni kiumbe kisichokuwa na hofu.