Job 41:31 — Compare Translations

7 translations compared side by side

Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huvisukasuka vilindi kama sufuria kubwa ichemkayo, na kukoroga bahari kama chungu cha marhamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye huchemsha kilindi mfano wa nyungu; Hufanya bahari kuwa kama mafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huvisukasuka vilindi kama sufuria kubwa ichemkayo na kukoroga bahari kama chungu cha marhamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huvisukasuka vilindi kama sufuria kubwa ichemkayo, na kukoroga bahari kama chungu cha marhamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye hufanya kilindi kichemke kama chungu; Hufanya bahari kuwa kama chungu cha mafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hukichafua nacho kilindi, kiwe kama chungu kinachochemka; huivuruga nayo bahari, iwe kama dawa, zikivurugwa chunguni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye huchemsha kilindi mfano wa nyungu; Hufanya bahari kuwa kama mafuta.