Job 41:33 — Compare Translations

7 translations compared side by side

Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna chochote duniani kinacholingana naye: yeye ni kiumbe kisicho na woga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Juu ya nchi hapana aliyefanana naye, Aliyeumbwa pasipo oga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna cho chote duniani kinacholingana naye, kiumbe kisicho na woga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna chochote duniani kinacholingana naye: yeye ni kiumbe kisicho na woga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Juu ya nchi hapana aliyefanana naye, kiumbe asiye na woga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huku nchini hakuna afananaye naye; alichoumbiwa, ni hiki: asistuke kamwe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Juu ya nchi hapana aliyefanana naye, Aliyeumbwa pasipo oga.