Job 41:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani awezaye kufungua kinywa chake? Meno yake pande zote ni kitisho!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, wafanyabiashara watabadilishana bidhaa kwa ajili yake? Watamgawanya miongoni mwa wafanyao biashara?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Vikosi vya wavuvi watamfanyia biashara? Watamgawanya kati ya wafanyao biashara?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani awezaye kufungua kinywa chake? Meno yake pande zote ni kitisho!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, wafanya biashara watabadilishana bidhaa kwa ajili yake? Watamgawanya miongoni mwa wafanyao biashara?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, wafanyabiashara watabadilishana bidhaa kwa ajili yake? Watamgawanya miongoni mwa wafanyao biashara?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Vikosi vya wavuvi watamfanyia biashara? Watamgawanya kati ya wafanyao biashara?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani awezaye kufungua kinywa chake? Meno yake pande zote ni kitisho!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Chama cha wavuvi kinamchuuzia na kuwagawanyia wachuuzi vipande vipande?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Vikosi vya wavuvi watamfanyia biashara? Watamgawanya kati ya wafanyao biashara?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani anayeweza kufungua kinywa chake? Meno yake pande zote ni kitisho!