Job 41:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mgongo wake umefanywa kwa safu za ngao zilizoshikamana pamoja kama kwa mhuri,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, unaweza kuijaza ngozi yake kwa vyuma vyenye ncha kali, au kichwa chake kwa mkuki wa kuvulia samaki?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Waweza kuijaza ngozi yake na vyuma vyenye ncha, Au kichwa chake kwa vyusa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mgongo wake umefanywa kwa safu za ngao zilizoshikamana pamoja kama kwa mhuri,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, waweza kuijaza ngozi yake kwa vyuma vyenye ncha kali, au kichwa chake kwa mkuki wa kuvulia samaki?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, waweza kuijaza ngozi yake kwa vyuma vyenye ncha kali, au kichwa chake kwa mkuki wa kuvulia samaki?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Waweza kuijaza ngozi yake kwa vyuma vyenye ncha, Au kichwa chake kwa vyusa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mgongo wake umefanywa kwa safu za ngao zilizoshikamana pamoja kama kwa mhuri,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Utaweza kueneza mikuki ngozini pake au kichwani pake vyusa vya wavuvi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Waweza kuijaza ngozi yake na vyuma vyenye ncha, Au kichwa chake kwa vyusa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mugongo wake umefanywa kwa mistari ya ngao iliyoshikamana pamoja kama kwa muhuri.