Job 41:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yameunganishwa pamoja, hata haiwezekani kuyatenganisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tumaini lolote la kumtiisha ni kujidanganya; kule kumwona tu kunamwangusha mtu chini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, kumtamani ni bure; Je! Hatambwaga chini huyo atakayemtazama?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yameunganishwa pamoja, hata haiwezekani kuyatenganisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tumaini lo lote la kumtiisha ni kujidanganya, kule kumwona tu kunamwangusha mtu chini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tumaini lolote la kumtiisha ni kujidanganya; kule kumwona tu kunamwangusha mtu chini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, kumtamani ni bure; Je! Hatambwaga chini huyo atakayemtazama?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yameunganishwa pamoja, hata haiwezekani kuyatenganisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama! Hicho kingojeo cha kumkamata ni uwongo, ukimtazama tu utakufa ganzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, kumtamani ni bure; Je! Hatambwaga chini huyo atakayemtazama?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Imeunganishwa pamoja, hata haiwezekani kuitenganisha.