Job 42:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika nchi yote hiyo hapakuwa na wanawake waliokuwa wazuri kama mabinti wa Yobu. Baba yao akawaachia urithi kama alivyowaachia kaka zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika nchi ile yote hakukuwa wanawake wazuri kama binti za Ayubu; naye baba yao akawapa urithi pamoja na ndugu zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika nchi hiyo yote hawakuwapo wanawake waliokuwa wazuri kama hao wana wa Ayubu; na baba yao akawapa urithi kati ya ndugu zao wana waume.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika nchi yote hiyo hapakuwa na wanawake waliokuwa wazuri kama mabinti wa Yobu. Baba yao akawaachia urithi kama alivyowaachia kaka zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hapakuwepo mahali po pote katika nchi ile yote palipopatikana wanawake wazuri kama binti za Ayubu; naye baba yao akawapa urithi pamoja na ndugu zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hapakuwepo mahali popote katika nchi ile yote palipopatikana wanawake wazuri kama binti za Ayubu; naye baba yao akawapa urithi pamoja na ndugu zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika nchi hiyo yote hawakuwapo wanawake waliokuwa wazuri kama hao wana wa Ayubu; na baba yao akawapa urithi pamoja na ndugu zao wa kiume.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika nchi yote hiyo hapakuwa na wanawake waliokuwa wazuri kama mabinti wa Yobu. Baba yao akawaachia urithi kama alivyowaachia kaka zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawakuonekana wanawake katika nchi yote nzima waliokuwa wazuri kama hao mabinti Iyobu. Naye baba yao akawapa mafungu, yawe yao, kama waumbu zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika nchi hiyo yote hawakuwapo wanawake waliokuwa wazuri kama hao wana wa Ayubu; na baba yao akawapa urithi kati ya ndugu zao wana waume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika inchi yote hiyo hakukukuwa wanawake waliokuwa wazuri kama vile wabinti wa Yobu. Baba yao akawaachia urizi kama vile alivyowaachia kaka zao.