Job 42:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya hapo, Yobu aliishi miaka 140, akawaona wajukuu na vitukuu vyake vyote hadi kizazi cha nne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya hili Ayubu akaishi miaka mia moja na arobaini; akawaona wanawe, na wana wa wanawe hata kizazi cha nne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha baada ya mambo hayo Ayubu akaishi miaka mia na arobaini, naye akawaona wanawe, na wana wa wanawe, hata vizazi vinne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya hapo, Yobu aliishi miaka 140, akawaona wajukuu na vitukuu vyake vyote hadi kizazi cha nne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya hili Ayubu akaishi miaka 140; akawaona wanawe na wana wa wanawe hata kizazi cha nne.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya hili Ayubu akaishi miaka 140; akawaona wanawe na wana wa wanawe hata kizazi cha nne.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha baada ya mambo hayo Ayubu akaishi miaka mia moja na arobaini, naye akawaona wanawe, na wana wa wanawe, hadi kizazi cha nne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya hapo, Yobu aliishi miaka 140, akawaona wajukuu na vitukuu vyake vyote hadi kizazi cha nne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo yote yalipokwisha, Iyobu akawapo miaka 140, akaona wana na wajukuu, vizazi vinne.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha baada ya mambo hayo Ayubu akaishi miaka mia na arobaini, naye akawaona wanawe, na wana wa wanawe, hata vizazi vinne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya pale, Yobu aliishi miaka mia moja makumi ine, akawaona vijukuu na vitukuu vyake vyote mpaka kizazi cha ine.