Job 42:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yobu akafariki akiwa mzee wa miaka mingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Ayubu akafa, akiwa mzee aliyeshiba siku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Ayubu akafa, mzee sana mwenye kujawa na siku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yobu akafariki akiwa mzee wa miaka mingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Ayubu akafa, mzee sana naye ameshiba siku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Ayubu akafa, akiwa mzee aliyekuwa ameshiba siku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Ayubu akafa, akiwa mzee sana mwenye kujawa na siku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yobu akafariki akiwa mzee wa miaka mingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Iyobu akafa alipokuwa mzee mwenye miaka mingi ya kumtosha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Ayubu akafa, mzee sana mwenye kujawa na siku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yobu akakufa akiwa muzee wa miaka mingi.