Job 42:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Najua kwamba waweza kila kitu, lolote unalokusudia haliwezi kuzuiliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ninajua ya kuwa unaweza kufanya mambo yote, wala hakuna mpango wako unaoweza kuzuilika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Najua ya kuwa waweza kufanya mambo yote, Na ya kuwa makusudi yako hayawezi kuzuilika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Najua kwamba waweza kila kitu, lolote unalokusudia haliwezi kuzuiliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ninajua ya kuwa unaweza kufanya mambo yote, wala hakuna mpango wako unaoweza kuzuilika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ninajua ya kuwa unaweza kufanya mambo yote, wala hakuna mpango wako unaoweza kuzuilika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Najua ya kuwa waweza kufanya mambo yote, Na ya kuwa makusudi yako hayawezi kuzuilika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Najua kwamba waweza kila kitu, lolote unalokusudia haliwezi kuzuiliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
uliyoyataka, hayazuiliki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Najua ya kuwa waweza kufanya mambo yote, Na ya kuwa makusudi yako hayawezi kuzuilika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninajua kwamba unaweza kila kitu, lolote unalokusudia haliwezi kuzuiliwa.