Job 42:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulisema kuwa nilithubutu kutatiza mpango wako kijinga. Kweli nilitamka kitu ambacho sikuelewa mambo ya ajabu mno kwangu ambayo sikuwa ninayajua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uliuliza, ‘Ni nani huyu afichaye mashauri yangu bila maarifa?’ Hakika nilisema mambo nisiyoyaelewa, mambo ya ajabu mno kwangu mimi kuyajua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani huyu afichaye mashauri bila maarifa? Kwa maana, nimesema maneno nisiyoyafahamu, Mambo ya ajabu ya kunishinda mimi, nisiyoyajua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulisema kuwa nilithubutu kutatiza mpango wako kijinga. Kweli nilitamka kitu ambacho sikuelewa mambo ya ajabu mno kwangu ambayo sikuwa ninayajua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uliuliza, ‘Ni nani huyu afichaye mashauri yangu bila maarifa?’ Hakika nilisema juu ya mambo niliyokuwa siyaelewi, mambo ya ajabu mno kwangu mimi kuyajua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliuliza, ‘Ni nani huyu afichaye mashauri yangu bila maarifa?’ Hakika nilisema juu ya mambo niliyokuwa siyaelewi, mambo ya ajabu mno kwangu mimi kuyajua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani huyu afichaye ushauri bila maarifa? Kwa maana, nimesema maneno nisiyoyafahamu, Mambo ya ajabu ya kunishinda mimi, nisiyoyajua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulisema kuwa nilithubutu kutatiza mpango wako kijinga. Kweli nilitamka kitu ambacho sikuelewa mambo ya ajabu mno kwangu ambayo sikuwa ninayajua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani awezaye kuyatowesha mashauri yako? Maana ni mtu asiyejua kitu. Kweli nimesema, nisiyoyatambua, mastaajabu kama hayo yananishinda, siyajui.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani huyu afichaye mashauri bila maarifa? Kwa maana, nimesema maneno nisiyoyafahamu, Mambo ya ajabu ya kunishinda mimi, nisiyoyajua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulisema kwamba nilivuruga mipango yako bila akili. Kweli nilitamka kitu ambacho sikuelewa, mambo ya ajabu sana kwangu ambayo sikukuwa ninayajua.