Job 42:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo natubu pamoja na kujipaka mavumbi na majivu, najiona mimi mwenyewe kuwa si kitu kabisa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo najidharau mwenyewe, na kutubu katika mavumbi na majivu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo najichukia nafsi yangu, na kutubu Katika mavumbi na majivu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo natubu pamoja na kujipaka mavumbi na majivu, najiona mimi mwenyewe kuwa si kitu kabisa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo najidharau mwenyewe na kutubu katika mavumbi na majivu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo najidharau mwenyewe, na kutubu katika mavumbi na majivu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo najichukia nafsi yangu, na kutubu Katika mavumbi na majivu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo natubu pamoja na kujipaka mavumbi na majivu, najiona mimi mwenyewe kuwa si kitu kabisa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo nayatangua mwenyewe, niliyoyasema, humu mavumbini na majivuni ninajuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo najichukia nafsi yangu, na kutubu Katika mavumbi na majivu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo ninatubu na kujihukumu; ninajinyenyekeza na kuikaa juu ya mavumbi na majivu.