Job 5:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ita sasa, uone kama kuna wa kukuitikia. Ni yupi kati ya watakatifu utakayemwita?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Itana, ukitaka, lakini ni nani atakayekujibu? Ni yupi kati ya hao watakatifu utakayemgeukia?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, ita sasa; je! Yuko atakayekujibu? Nawe utamwelekea yupi katika hao watakatifu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ita sasa, uone kama kuna wa kukuitikia. Ni yupi kati ya watakatifu utakayemwita?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ita kama unataka, lakini ni nani atakayekujibu? Ni yupi kati ya hao watakatifu utakayemgeukia?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ita kama unataka, lakini ni nani atakayekujibu? Ni yupi kati ya hao watakatifu utakayemgeukia?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, ita sasa; je! Yuko atakayekujibu? Nawe utamwelekea yupi katika hao watakatifu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ita sasa, uone kama kuna wa kukuitikia. Ni yupi kati ya watakatifu utakayemwita?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya! Ita, kama yuko mtu anayekuitikia! Kwao walio watakatifu utamtokea nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, ita sasa; je! Yuko atakayekujibu? Nawe utamwelekea yupi katika hao watakatifu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ita sasa, uone kama kuna wa kukuitikia. Ni nani kati ya watakatifu utakayemwita?