Job 5:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huwanasa wenye hekima kwa werevu wao, mipango ya wajanja huikomesha mara moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao, nayo mipango ya wadanganyifu huifagilia mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao wenyewe; Na mashauri ya washupavu yaharibika kwa haraka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huwanasa wenye hekima kwa werevu wao, mipango ya wajanja huikomesha mara moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao, nayo mipango ya wadanganyifu huifagilia mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao, nayo mipango ya wadanganyifu huifagilia mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao wenyewe; Na mashauri ya washupavu yaharibika kwa haraka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huwanasa wenye hekima kwa werevu wao, mipango ya wajanja huikomesha mara moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wenye ubingwa huwakamata kwa werevu wao, mashauri yao wapotovu yaangamie upesi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao wenyewe; Na mashauri ya washupavu yaharibika kwa haraka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anawanasa wenye hekima kwa werevu wao, anakomesha mara moja mipango ya waovu.