Job 5:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao huona giza wakati wa mchana, adhuhuri hupapasapapasa kama vile usiku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Giza huwapata wakati wa mchana; wakati wa adhuhuri hupapasa kama vile usiku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wao hupatwa na giza wakati wa mchana, Hupapasa mchana vilevile kama usiku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao huona giza wakati wa mchana, adhuhuri hupapasapapasa kama vile usiku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Giza huwapata wakati wa mchana, wakati wa adhuhuri hupapasa kama vile usiku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Giza huwapata wakati wa mchana; wakati wa adhuhuri hupapasa kama vile usiku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wao hupatwa na giza wakati wa mchana, Hupapasa mchana vile vile kama usiku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao huona giza wakati wa mchana, adhuhuri hupapasapapasa kama vile usiku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao mchana wao huguiwa na giza, wapapasepapase mnamo saa sita, kama ni usiku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wao hupatwa na giza wakati wa mchana, Hupapasa mchana vilevile kama usiku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wao wanapatwa na giza wakati wa muchana; muchana kati wanapapasapapasa kama vile usiku.