Job 5:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mungu huwaokoa yatima wasiuawe, huwanyakua fukara mikononi mwa wenye nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Humwokoa mhitaji kutokana na upanga ulioko kinywani mwao; huwaokoa kutokana na makucha ya wenye nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini yeye huokoa na upanga wa kinywa chao, Hata kumwokoa mhitaji na mkono wake aliye hodari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mungu huwaokoa yatima wasiuawe, huwanyakua fukara mikononi mwa wenye nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Humwokoa mhitaji kutokana na upanga ulioko kinywani mwao, huwaokoa kutokana na makucha ya wenye nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Humwokoa mhitaji kutokana na upanga ulioko kinywani mwao; huwaokoa kutokana na makucha ya wenye nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini yeye huokoa na upanga wa kinywa chao, Hata kumwokoa mhitaji na mkono wake aliye hodari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mungu huwaokoa yatima wasiuawe, huwanyakua fukara mikononi mwa wenye nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, anavyowaokoa wamaskini, ukali wa upanga usiwaue, wala mikono ya wenye nguvu isiwashinde.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini yeye huokoa na upanga wa kinywa chao, Hata kumwokoa mhitaji na mkono wake aliye hodari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Mungu anawaokoa wayatima wasiuawe, anawaponyesha wakosefu toka katika mikono ya wenye nguvu.