Job 5:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Heri mtu yule ambaye Mungu anamrudi! Hivyo usidharau Mungu Mwenye Nguvu anapokuadhibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Heri mtu yule ambaye Mungu humkanya; kwa hiyo usidharau adhabu yake Mwenyezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, yu heri mtu yule Mungu amwadhibuye; Kwa hiyo usidharau kurudiwa na huyo Mwenyezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Heri mtu yule ambaye Mungu anamrudi! Hivyo usidharau Mungu Mwenye Nguvu anapokuadhibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Heri mtu yule ambaye Mungu humrudi, kwa hiyo usidharau marudi yake Mwenyezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Heri mtu yule ambaye Mungu humrudi; kwa hiyo usidharau adhabu yake Mwenyezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, yu heri mtu yule Mungu amwadhibuye; Kwa hiyo usidharau kurudiwa na huyo Mwenyezi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Heri mtu yule ambaye Mungu anamrudi! Hivyo usidharau Mungu Mwenye Nguvu anapokuadhibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Tazama! Mwenye shangwe ni mtu, Mungu anayemchapa! Kwa hiyo usikatae kuonywa na Mwenyezi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, yu heri mtu yule Mungu amwadhibuye; Kwa hiyo usidharau kurudiwa na huyo Mwenyezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri mutu yule anayeazibiwa na Mungu! Hivyo usizarau Mungu Mwenye Uwezo anapokuazibu.