Job 5:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwani yeye huumiza na pia huuguza; hujeruhi, na kwa mkono wake huponya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa hutia jeraha, lakini pia huyafunga; huumiza, lakini mikono yake pia huponya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani yeye huumiza, lakini tena huuguza; Yeye hutia jeraha, na mikono yake huponya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwani yeye huumiza na pia huuguza; hujeruhi, na kwa mkono wake huponya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa hutia jeraha, lakini pia huyafunga, huumiza, lakini mikono yake pia huponya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa hutia jeraha, lakini pia huyafunga; huumiza, lakini mikono yake pia huponya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani yeye huumiza, lakini tena huuguza; Yeye hutia jeraha, na mikono yake huponya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwani yeye huumiza na pia huuguza; hujeruhi, na kwa mkono wake huponya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli yeye huumiza, lakini tena huuguza; atakapotia kidonda, mikono yake hukiponya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani yeye huumiza, lakini tena huuguza; Yeye hutia jeraha, na mikono yake huponya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana yeye anaumiza na tena anatunza, anatia kidonda na kwa mukono wake anaponyesha.