Job 5:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atakuokoa katika maafa zaidi ya mara moja; katika balaa la mwisho, uovu hautakugusa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka majanga sita atakuokoa; naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye atakuokoa na mateso sita; Naam, hata katika saba hapana uovu utakaokugusa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atakuokoa katika maafa zaidi ya mara moja; katika balaa la mwisho, uovu hautakugusa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka katika majanga sita yeye atakuokoa, naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka majanga sita atakuokoa; naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye atakuokoa na mateso sita; Naam, hata katika saba hapana uovu utakaokugusa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atakuokoa katika maafa zaidi ya mara moja; katika balaa la mwisho, uovu hautakugusa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakuokoa katika masongano sita, yawe hata saba, kisioneke kibaya kitakachokugusa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye atakuokoa na mateso sita; Naam, hata katika saba hapana uovu utakaokugusa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atakuokoa mara sita toka katika magumu; hata mara saba hasara haitakugusa.