Job 5:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ama kweli hangaiko humuua mpumbavu, na wivu humwangamiza mjinga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu, nao wivu humchinja mjinga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani hasira humwua mtu mpumbavu, Nao wivu humwua mjinga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ama kweli hangaiko humuua mpumbavu, na wivu humwangamiza mjinga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuweka uchungu moyoni humwua mpumbavu, nao wivu humchinja mjinga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu, nao wivu humchinja mjinga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani hasira humwua mtu mpumbavu, Nao wivu humwua mjinga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ama kweli hangaiko humuua mpumbavu, na wivu humwangamiza mjinga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani majonzi humwua mjinga, nao wivu humwua mpuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani hasira humwua mtu mpumbavu, Nao wivu humwua mjinga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli mahangaiko yanamwua mupumbafu, na wivu unamwangamiza mujinga.