Job 5:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utakingwa salama na mashambulio ya ulimi, wala hutaogopa maangamizi yajapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utalindwa kutokana na kichapo cha ulimi, wala hutakuwa na sababu ya kuogopa maangamizi yatakapokujia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utafichwa na mapigo ya ulimi; Wala usiogope maangamizo yatakapokuja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utakingwa salama na mashambulio ya ulimi, wala hutaogopa maangamizi yajapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utalindwa kutokana na kuchapa kwa ulimi, wala hutakuwa na sababu ya kuogopa maangamizi yatakapokujia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utalindwa kutokana na kichapo cha ulimi, wala hutakuwa na sababu ya kuogopa maangamizi yatakapokujia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utafichwa na mapigo ya ulimi; Wala usiogope maangamizo yatakapokuja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utakingwa salama na mashambulio ya ulimi, wala hutaogopa maangamizi yajapo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Penye mapigo ya ndimi za watu utafichika, usiogope hapo napo, mwangamizo utakapokuja;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utafichwa na mapigo ya ulimi; Wala usiogope maangamizo yatakapokuja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakingwa salama na mashambulio ya ulimi, wala hautaogopa maangamizi yanapokuja.