Job 5:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maangamizi na njaa vijapo, utacheka, wala hutawaogopa wanyama wakali wa nchi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utayacheka maangamizi na njaa, wala hutakuwa na sababu ya kuwaogopa wanyama wakali wa mwituni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe utayacheka maangamizo na njaa; Wala hutawaogopa wanyama wakali wa nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maangamizi na njaa vijapo, utacheka, wala hutawaogopa wanyama wakali wa nchi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utayacheka maangamizo na njaa, wala hutakuwa na sababu ya kuwaogopa wanyama wakali wa mwituni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utayacheka maangamizo na njaa, wala hutakuwa na sababu ya kuwaogopa wanyama wakali wa mwituni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe utayacheka maangamizo na njaa; Wala hutawaogopa wanyama wakali wa nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maangamizi na njaa vijapo, utacheka, wala hutawaogopa wanyama wakali wa nchi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
utaucheka mwangamizo, hata njaa, nao nyama wakali wa nchi hutawaogopa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe utayacheka maangamizo na njaa; Wala hutawaogopa wanyama wakali wa nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maangamizi na njaa vinapokuja, utacheka, wala hautaogopa nyama wakali wa inchi.