Job 5:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawe utaafikiana na mawe ya shambani, na wanyama wakali watakuwa na amani nawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa utakuwa na agano na mawe ya mashamba, nao wanyama pori watakuwa na amani nawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani utakuwa na mapatano na mawe ya bara; Nao wanyama wa bara watakuwa na amani kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawe utaafikiana na mawe ya shambani, na wanyama wakali watakuwa na amani nawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa utakuwa na agano na mawe ya mashamba, nao wanyama wa mwitu watakuwa na amani nawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa utakuwa na agano na mawe ya mashamba, nao wanyama wa mwitu watakuwa na amani nawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani utakuwa na mapatano na mawe ya bara; Nao wanyama wa bara watakuwa na amani kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawe utaafikiana na mawe ya shambani, na wanyama wakali watakuwa na amani nawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nayo mawe ya mashambani utapatana nayo, nao nyama wa porini watatengemana huko, uliko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani utakuwa na mapatano na mawe ya bara; Nao wanyama wa bara watakuwa na amani kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nawe utapatana na mawe ya shamba, na nyama wakali watakuwa na amani nawe.