Job 5:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utaona nyumbani mwako mna usalama; utakagua mifugo yako utaiona yote ipo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utajua kwamba hema lako li salama; utahesabu mali yako wala hutakuta chochote kilichopungua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utajua ya kwamba hema yako ina salama; Na zizi lako utaliaua, wala usikose kitu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utaona nyumbani mwako mna usalama; utakagua mifugo yako utaiona yote ipo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utajua ya kwamba hema lako li salama, utahesabu mali zako wala hutakuta cho chote kilichopungua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utajua ya kwamba hema lako li salama; utahesabu mali zako wala hutakuta chochote kilichopungua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utajua ya kwamba hema yako ni salama; Na zizi lako utalikagua, wala usikose kitu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utaona nyumbani mwako mna usalama; utakagua mifugo yako utaiona yote ipo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, utakapolijua hema lako kuwa lenye utengemano, napo utakapolitazama kao lako, hutaona kitakachokoseka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utajua ya kwamba hema yako ina salama; Na zizi lako utaliaua, wala usikose kitu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakaa na amani katika nyumba yako; utachunguza makundi yako ya nyama, utaona yote iko.