Job 5:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utaona pia wazawa wako watakuwa wengi, wengi kama nyasi mashambani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utajua kuwa watoto wako watakuwa wengi, nao wazao wako wengi kama majani ya nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena utajua ya kwamba uzao wako utakuwa mwingi, Na vizazi vyako watakuwa kama nyasi za nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utaona pia wazawa wako watakuwa wengi, wengi kama nyasi mashambani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utajua ya kuwa watoto wako watakuwa wengi, nao wazao wako wengi kama majani ya nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utajua ya kuwa watoto wako watakuwa wengi, nao wazao wako wengi kama majani ya nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena utajua ya kwamba uzao wako utakuwa mwingi, Na uzao wako utakuwa kama nyasi za nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utaona pia wazawa wako watakuwa wengi, wengi kama nyasi mashambani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena utayaona mazao yako kuwa mengi, navyo vizazi vya kwako vitakuwa vingi kama majani ya nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena utajua ya kwamba uzao wako utakuwa mwingi, Na vizazi vyako watakuwa kama nyasi za nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utaona vilevile wazao wako watakuwa wengi, wengi kama majani katika mashamba.