Job 5:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi huu ndio utafiti wetu; tena ni ukweli; uusikie na kuuelewa kwa faida yako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tumelichunguza hili, nalo ni kweli. Hivyo lisikie na ulitendee kazi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, haya tumeyapeleleza, ndivyo yalivyo; Yasikie, uyajue, ili upate mema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi huu ndio utafiti wetu; tena ni ukweli; uusikie na kuuelewa kwa faida yako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tumelichunguza hili, nalo ni kweli, hivyo lisikie na ulitendee kazi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tumelichunguza hili, nalo ni kweli. Hivyo lisikie na ulitendee kazi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, haya tumeyapeleleza, ndivyo yalivyo; Yasikie, uyajue, ili upate mema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi huu ndio utafiti wetu; tena ni ukweli; uusikie na kuuelewa kwa faida yako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama! Haya tumeyachunguza kuwa hivyo kweli; yasikie, nawe upate kuyajua moyoni mwako! Iyobu akajibu akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, haya tumeyapeleleza, ndivyo yalivyo; Yasikie, uyajue, ili upate mema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi haya ndiyo mambo tuliyochunguza. Ni hivi tu. Uyasikie na kuyaelewa kwa faida yako.