Job 5:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kawaida mateso hayatoki mavumbini wala matatizo hayachipui udongoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana taabu haioti kutoka kwa udongo, wala ubaya hauchipui kutoka ardhini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani taabu haitoki mchangani, Wala mashaka hayachipuki katika nchi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kawaida mateso hayatoki mavumbini wala matatizo hayachipui udongoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana taabu haioti kutoka kwenye udongo, wala udhia hauchipui kutoka ardhini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana taabu haioti kutoka kwenye udongo, wala udhia hauchipui kutoka ardhini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani taabu haitoki mchangani, Wala mashaka hayachipuki katika nchi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kawaida mateso hayatoki mavumbini wala matatizo hayachipui udongoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani upotovu hautoki uvumbini, wala usumbufu hauchipuki hapa nchini,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani taabu haitoki mchangani, Wala mashaka hayachipuki katika nchi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kawaida mateso hayatoki katika mavumbi, wala matatizo hayachipuki katika udongo.