Job 5:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bali binadamu huzaliwa apate taabu, kama cheche za moto zirukavyo juu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mwanadamu huzaliwa ili kutaabika, kwa hakika kama cheche za moto zinavyoruka kuelekea juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mwanadamu huzaliwa ili apate mashaka, Kama cheche za moto zirukavyo juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bali binadamu huzaliwa apate taabu, kama cheche za moto zirukavyo juu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mwanadamu huzaliwa ili kutaabika, kwa hakika kama cheche ya moto irukayo kuelekea juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mwanadamu huzaliwa ili kutaabika, kwa hakika kama cheche za moto zirukavyo kuelekea juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mwanadamu huzaliwa ili apate shida, Kama cheche za moto zirukavyo juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bali binadamu huzaliwa apate taabu, kama cheche za moto zirukavyo juu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila mtu huzaliwa, apate kusumbuka, awe kama cheche za moto zinazoruka juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mwanadamu huzaliwa ili apate mashaka, Kama cheche za moto zirukavyo juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mwanadamu anazaliwa apate taabu, kama vile cheche za moto zinavyoruka juu.