Job 5:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
yeye atendaye makuu yasiyochunguzika, atendaye maajabu yasiyohesabika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa, miujiza isiyoweza kuhesabika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye afanyaye mambo makuu, yasiyotambulikana; Mambo ya ajabu yasiyo na hesabu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
yeye atendaye makuu yasiyochunguzika, atendaye maajabu yasiyohesabika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa, miujiza isiyoweza kuhesabika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa, miujiza isiyoweza kuhesabika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye afanyaye mambo makuu, yasiyotambulikana; Mambo ya ajabu yasiyo na hesabu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
yeye atendaye makuu yasiyochunguzika, atendaye maajabu yasiyohesabika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hufanya mambo makuu yasiyochunguzika, vioja vyake havihesabiki:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye afanyaye mambo makuu, yasiyotambulikana; Mambo ya ajabu yasiyo na hesabu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
yeye anayetenda mambo makubwa yasiyochunguzika, anayetenda maajabu yasiyohesabika.