Job 6:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiyo ingekuwa faraja yangu, ningefurahi katika maumivu yasiyo na huruma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo bado ningekuwa na hii faraja, furaha yangu katika maumivu makali: kwamba sikuwa nimeyakana maneno yake yeye Aliye Mtakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo ndipo ningefarijika hata sasa; Naam, ningejikuza katika maumivu yasiyoniacha; Kwa kuwa sikuyakana maneno yake Mtakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiyo ingekuwa faraja yangu, ningefurahi katika maumivu yasiyo na huruma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo bado ningekuwa na hii faraja, bado ningekuwa na furaha katika maumivu makali: kwamba sikuwa nimeyakana maneno yake yeye Aliye Mtakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo bado ningekuwa na hii faraja, furaha yangu katika maumivu makali: kwamba sikuwa nimeyakana maneno yake yeye Aliye Mtakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo ndipo ningefarijika hata sasa; Naam, ningejikuza katika maumivu yasiyoniacha; Kwa kuwa sikuyakana maneno yake Mtakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiyo ingekuwa faraja yangu, ningefurahi katika maumivu yasiyo na huruma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Litakalonituliza moyo litakuwako nayo siku hiyo, ijapo niumizwe pasipo kuhurumiwa, lilo hilo litanichezesha, ndio hilo la kwamba: Sikuyakana maneno yake Mtakatifu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo ndipo ningefarijika hata sasa; Naam, ningejikuza katika maumivu yasiyoniacha; Kwa kuwa sikuyakana maneno yake Mtakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiyo ingekuwa faraja yangu, ningefurahi katika maumivu yasiyokuwa na huruma, kwa sababu sikukataa maagizo ya Mungu Mutakatifu.