Job 6:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sina nguvu ya kuweza kuendelea; sijui mwisho wangu utakuwaje, nipate kuvumilia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nina nguvu gani, hata niendelee kutumaini? Matazamio yangu ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nguvu zangu ni zipi, hata ningoje? Na mwisho wangu ni nini, hata nisubiri?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sina nguvu ya kuweza kuendelea; sijui mwisho wangu utakuwaje, nipate kuvumilia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ninazo nguvu gani, hata niendelee kutumaini? Matazamio yangu ya mbele ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ninazo nguvu gani, hata niendelee kutumaini? Matazamio yangu ya mbele ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nguvu zangu ni zipi, hata ningoje? Na mwisho wangu ni nini, hata nisubiri?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sina nguvu ya kuweza kuendelea; sijui mwisho wangu utakuwaje, nipate kuvumilia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nguvu zangu ni za nini, nitulie na kungoja? Mwisho wangu utakuwaje, nipate kuvumilia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nguvu zangu ni zipi, hata ningoje? Na mwisho wangu ni nini, hata nisubiri?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sina nguvu ya kuweza kuendelea. Sijui mwisho wangu utakuwa namna gani, nipate kuvumilia.