Job 6:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli kwangu hamna cha kunisaidia; msaada wowote umeondolewa kwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, ninao uwezo wowote wa kujisaidia mimi mwenyewe, wakati mafanikio yamefukuziwa mbali nami?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Si kwamba sina msaada ndani yangu. Tena kwamba kufanikiwa kumeondolewa mbali nami?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli kwangu hamna cha kunisaidia; msaada wowote umeondolewa kwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, ninao uwezo wo wote wa kujisaidia mimi mwenyewe, wakati ambapo mafanikio yamefukuziwa mbali nami?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, ninao uwezo wowote wa kujisaidia mimi mwenyewe, wakati ambapo mafanikio yamefukuziwa mbali nami?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Si kwamba sina msaada ndani yangu. Tena kwamba kufanikiwa kumeondolewa mbali nami?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli kwangu hamna cha kunisaidia; msaada wowote umeondolewa kwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Haya hayakunipata kwa kukosa msaada wo wote? Je? Uponya haukutoweshwa huku, niliko?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Si kwamba sina msaada ndani yangu. Tena kwamba kufanikiwa kumeondolewa mbali nami?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli kwangu hakuna kitu cha kunisaidia; musaada wowote ni mbali nami.