Job 6:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Anayekataa kumhurumia rafiki yake, anakataa kumcha Mungu mwenye nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mtu anayekata tamaa angetazamia moyo wa kujitoa wa rafiki zake, hata akiacha uchaji wa Mwenyezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwake huyo atakaye kuzima roho inapasa atendewe mema na rafiki; Hata kwake huyo aachaye kumcha Mwenyezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Anayekataa kumhurumia rafiki yake, anakataa kumcha Mungu mwenye nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mtu anayekata tamaa angetazamia moyo wa kujitoa wa rafiki zake, hata kama akiacha uchaji wa Mwenyezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mtu anayekata tamaa angetazamia moyo wa kujitoa wa rafiki zake, hata kama akiacha uchaji wa Mwenyezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwake huyo atakaye kuzima roho inapasa atendewe mema na rafiki; Hata kwake huyo aachaye kumcha Mwenyezi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Anayekataa kumhurumia rafiki yake, anakataa kumcha Mungu mwenye nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye kuzimia hupaswa na rafiki wamwendeao kwa upole, ijapo amekwisha kuacha kumcha Mwenyezi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwake huyo atakaye kuzima roho inapasa atendewe mema na rafiki; Hata kwake huyo aachaye kumcha Mwenyezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayekataa kutendea mema rafiki yake, anakataa kumwogopa Mungu Mwenye Uwezo.