Job 6:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ambayo imejaa barafu, na theluji imejificha ndani yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakati vimefunikwa barafu iyeyukayo, ambavyo hujazwa na theluji inayoyeyuka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vilivyokuwa vyeusi kwa sababu ya barafu, Ambamo theluji hujificha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ambayo imejaa barafu, na theluji imejificha ndani yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati vimefunikwa barafu iyeyukayo ambavyo hujazwa na theluji inayoyeyuka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati vimefunikwa barafu iyeyukayo, ambavyo hujazwa na theluji inayoyeyuka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vilivyokuwa vyeusi kwa sababu ya barafu, Ambamo theluji hujificha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ambayo imejaa barafu, na theluji imejificha ndani yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
maana hivi huwa vyeusi kwa maji ya barafu, theluji ziyeyukazo zilimoingia kujifichia humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vilivyokuwa vyeusi kwa sababu ya barafu, Ambamo theluji hujificha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ambayo imejaa barafu, na teluji imejificha ndani yake.