Job 6:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wakati wa joto hutoweka, wakati wa hari hubaki mito mikavu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini hukauka majira ya ukame, na wakati wa hari hutoweka katika mikondo yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati vipatapo moto hutoweka; Kukiwako hari, hukoma mahali pao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wakati wa joto hutoweka, wakati wa hari hubaki mito mikavu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini hukauka majira ya ukame, na wakati wa hari hutoweka katika mikondo yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini hukauka majira ya ukame, na wakati wa hari hutoweka katika mikondo yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati vipatapo moto hutoweka; Kukiwako joto, hukoma mahali pao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wakati wa joto hutoweka, wakati wa hari hubaki mito mikavu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini siku, vinapowakiwa na jua, hupwa, hutoweka mahali pao, kiangazi kikitimia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati vipatapo moto hutoweka; Kukiwako hari, hukoma mahali pao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wa kipwa inatoweka, wakati wa jua kali inakauka.