Job 6:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Misafara hupotea njia wakitafuta maji, hupanda nyikani na kufia huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Misafara hugeuka kutoka njia zake; hukwea kwenda kwenye nchi ya ukiwa na kuangamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Misafara isafiriyo kwa njia yao hugeuka; Hukwea kwenda barani, na kupotea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Misafara hupotea njia wakitafuta maji, hupanda nyikani na kufia huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Misafara hugeuka kutoka katika njia zake, hukwea kwenda kwenye nchi ya ukiwa na kuangamia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Misafara hugeuka kutoka njia zake; hukwea kwenda kwenye nchi ya ukiwa na kuangamia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Misafara isafiriyo kwa njia yao hugeuka; Hukwea kwenda barani, na kupotea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Misafara hupotea njia wakitafuta maji, hupanda nyikani na kufia huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Misafara huziacha njia zao kuvipandia jangwani, lakini wasipokuta kijito chenye maji, huangamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Misafara isafiriyo kwa njia yao hugeuka; Hukwea kwenda barani, na kupotea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wasafiri wanapotea njia zao wakitafuta maji, wanapanda katika jangwa na kukufia kule.