Job 6:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huchukizwa kwa kutumaini bure, hufika kwenye vijito hivyo na kuudhika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wamedhikika, kwa sababu walikuwa na matumaini; wanafika huko, lakini wanahuzunika kwa kukosa walichotarajia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wametahayari kwa sababu walitumaini; Wakaja huku, nao walifadhaika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huchukizwa kwa kutumaini bure, hufika kwenye vijito hivyo na kuudhika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wamedhikika, kwa sababu walikuwa na matumaini, walipofika huko, wakahuzunika kwa kukosa walichotarajia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wamedhikika, kwa sababu walikuwa na matumaini; wanafika huko, lakini wanahuzunika kwa kukosa walichotarajia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wameudhika kwa sababu walitumaini; Wakaja huku, nao walifadhaika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huchukizwa kwa kutumaini bure, hufika kwenye vijito hivyo na kuudhika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini huona kuwa bure kuvikimbilia, kwani wanapofika mahali pao wamedanganyika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wametahayari kwa sababu walitumaini; Wakaja huku, nao walifadhaika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanachukizwa kwa kutumainia bure, wanafika kwenye vijito hivyo na kuuzika.