Job 6:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mmekuwa kama vijito hivyo, mwaona balaa yangu na kuogopa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa nanyi mmethibitika kwamba hamna msaada wowote; mnaona jambo la kutisha, nanyi mnaogopa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani sasa ninyi mmekuwa vivyo; Mwaona jambo la kutisha, mkaogopa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mmekuwa kama vijito hivyo, mwaona balaa yangu na kuogopa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa nanyi mmethibitika kwamba hamna msaada wo wote, mnaona jambo la kutisha nanyi mnaogopa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa nanyi mmethibitika kwamba hamna msaada wowote; mnaona jambo la kutisha, nanyi mnaogopa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani sasa ninyi mmekuwa hivyo; Mnaona maafa yangu, na kuogopa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mmekuwa kama vijito hivyo, mwaona balaa yangu na kuogopa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi sasa mmeniwia vivyo hivyo: mlipoyaona haya mastusho mkashikwa na woga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani sasa ninyi mmekuwa vivyo; Mwaona jambo la kutisha, mkaogopa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mumekuwa kama vijito hivyo, munaona hasara yangu na kuogopa.