Job 6:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, nimesema mnipe zawadi? Au mnitolee rushwa kwa mali zenu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, nimewahi kusema, ‘Toeni kitu kwa ajili yangu, au mnilipie fidia kutoka mali yenu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Nilisema, Nipeni? Au, Nitoleeni toleo katika mali yenu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, nimesema mnipe zawadi? Au mnitolee rushwa kwa mali zenu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, nimewahi kusema, ‘Toeni kitu kwa ajili yangu, au mnilipie fidia kutoka katika mali zenu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, nimewahi kusema, ‘Toeni kitu kwa ajili yangu, au mnilipie fidia kutoka mali zenu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Nilisema, Nipeni? Au, Nitoleeni toleo katika mali yenu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, nimesema mnipe zawadi? Au mnitolee rushwa kwa mali zenu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Nimewaambia: Nipeni? Kwa mali zenu ninyi nikomboeni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Nilisema, Nipeni? Au, Nitoleeni toleo katika mali yenu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimesema munipe zawadi? Au munitolee sehemu ya mali zenu?